Futa app hii kabisa au usiitumie kabisa 😡uta hark wa kirahisi

SULUHISHO NI HILI ACHA KUKUBALI KU HARKIWA KIZEMBE🥷


 


 


 


Leo tu ka angalie kwa uchache kidogo ni jinsi gani unaweza uka epuka ku harkiwa?? Au kumsaidia mtu ambaye ka harkiwa upande wa call na messeng.  


 


 


Tuanze na upande wa messag


 


Kwa wale waliopo telegram kupitia link 🔗 


 


https://t.me/addlist/WNkv0lltmzphMTlk


 


Au Search 🔎 ITTECHBROSS


 


Nilifundisha somo hili kwa voice note basi leo ngoja nikuelekeze kwa ambaye hakuelewa basi ni muda wako kuelewa sasa 


 


Kwa upande wa *message* hakikisha kama unatumia ku chart normal message kwa kutumia app ya GOOGLE MESSAGE 


 


...................... GREEN HACKER 🥷............


❌ basi acha kabisa kwanzia leo app hii si nzuri kwa sababu imeongezwa option ya mtu kuweza ku link kwa ku scan Quar code na akaweza kupata sms zako zote zitakazo ingia kwenye simu yako✅ bila wewe kujijuwa


 


 


Suluhisho: "DOWNLOAD APP MESSAGE KUTOKA PLAY STORE ili uwepuke mtu yeyote asikufanyie mchezo ya harking message "


 


KWA UPANDE WA CALL HARKING  


 


baadhi ya watu wame ni dm kuhusu Ku harkiwa kwa njia ya call na hii njia ni rahisi sana kujua ni nani ambaye kakichezea mchezo huo ila ukinifuatilia kwa makini katika maelezo yangu basi utafahamu


 


Je utafahamuje??


 


Basi nikuindoe shaka mtu wangu wa IT TECH BROS GROUP ambaye umekuwa nasi bega kwa bega akiwemo GREEN HACKER NA MR.TECH NA MA ADMN WENGINE basi ukiona au ukijaribu kujipigia kwenye hio laini yako na kusikia kuwa ^^^^^LAINI HIYO IMEUNGANISHWA😓😓 TAMBUA KUWA kuna mpuuzi kaku track kwa lugha ya technology tunaita communication tracking call 🤙 au ata mtu akiwa anakypigia akikuambia kuwa laini yako kila akipiga au akiwa anaipiga mara moja moja anasikia kuwa umeunganishwa pia tambua ume trackiwa call 🤙 zako zote kuna mpuuzi anazipata na leo basi naenda kuuvunja ukimya huu 


 


 


Green hacker 🥷👉 TUANZE NA WATUMIAJI WA SIMU KUBWA SMARTY PHONE 📱 


 


1:INGIA PHONE CALL


 


2: KISHA UTAONA JUU KUNA DOTI 3 •••


 


3: GUSA IZO DOTI


 


4: SCROLL DOWN 👇 


 


5: GUSA NENO ADVANCE SETTINGS KWA KISHA utaa cha i loading kidogo 


 


6: GUSA FORWARD CALL UKIONA NAMBA YA HUYO MTU IFUTE PAWE EMPTY PASIWE NA NAMBA YEYOTE ILE KISHA SEVU KAMA FORWARD CALL 🤙 IMEWASHWA BASI ZIMA ✅ 


 


7: ZOEZI KIMEKAMILIKA


 


 


KWA WATUMIAJI WA SIMU NDOGO 🧐👇 GREEN HACKER 🥷


 


1: BONYEZA BUTTON ANDIKA HIVI #002# 


 


2: WEKA OK 


 


3: UKIFANYA HIVYO BASI UTAKUWA UMEINDOA TRACKING ZOTE KWA AMBAYE ALIKUCHEZEA MCHEZO HUO 


Lengo lake 😂 kwisha


 


 


 


    Mwisho:


Kwa msaada zaidi unaweza ukamfikishia ujumbe kijana wangu snyperbytes hacker kwa WhatsApp +255793316425


Je una tatizo ulilokumbana nalo na unaitaji kufundushwa?? Basi shuka kwa chini kidogo niandikie comment yako hapo na mimi nita weza kutoa somo ilo

1 Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

ads

Magspot Blogger Template
Magspot Blogger Template

نموذج الاتصال