Machapisho

Fanya hivi kuondoa watu walio kuomba urafiki Facebook

Jinsi ya kuondoa friend request Facebook

NJIA RAHISI YA KU WAINDOA WALE WOTE WALIO KUTUMIA MAOMBI YA URAFIKI FACEBOOK 




Je umetafuta jinsi ya kuwa ondoa wale watu waliotuma urafiki Facebook na baadhi ya watu umewafumia requst wame potezea🥲??



Basi leo nime andaa somo hili kwa sababu ya mdau mmoja kunifuata inbox 📥 na kuitaji kufundishwa na aka omba ikipendeza nilitoe kwa watu wote waweze kuelewa


Chakufanya ni hivi


Gusa link  🔗 hii nilio tengeneza kwa mahususi ya ku remove request zote za friend na ku disable urafiki wa Facebook ambao uli mtumia mtu na yeye aku  cormfirm



 HATUA 


1: GUSA LINK HII CLICK HERE TO REMOVE FACEBOOK REQUEST  


2: kisha ita kupeleka moja kwa moja Facebook


3:kisha uta chaguwa wa kuwa remove



Mwisho : kwa maoni au kuhusu shida upande wa technology basi shuka chini kwenye website kisha comment na mimi nitaweza kuelekeza somo hilo kama wengine navyo wapa nafasi kwa telegram search ITTECHBROSS 

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.