Game la mpira NBC [Tanzania]

wengi wao wame tuma ujumbe Ä·uwa wahitaji Game la mpira la TANZANIA na kama mnavyojua kuwa Greenhacker hana shida na mtu sasa nimekuletea tovuti ya kupata Game hilo

Kabla ya yote lazima tuende hatua kwa hatua ili ata asiye elewa aelewe

📥 Jinsi ya Kudownload na Kusakinisha Game la NBC 2024 (FTS 24

Hii ni game ya mpira ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania yenye vilabu vyote vya Bongo. Ili kucheza, unahitaji kufuata hatua hizi kwa usahihi:

🔴 Hatua ya 1: Download File

Bonyeza kitufe hapa chini kudownload game. litakupelekakwenye media fire usihuzunike wala kushtuka Utaweza kupata ZIP file ambalo lina APK, OBB, na DATA.

✅ Download NBC F24 Game

🟠 Hatua ya 2: Fungua ZIP File

  1. Pakua app ya ZArchiver kutoka Play Store (kama bado huna).
  2. Fungua ZArchiver na tafuta file ulilodownload (NBC_F24.zip).
  3. Bofya file hilo, kisha chagua “Extract Here” au “Extract to...”

🟡 Hatua ya 3: Sakinisha (Install) APK

  1. Baada ya extract, utaona file la APK.
  2. Bofya APK hilo kisha chagua Install.
  3. Kama simu yako inakata, ruhusu "Unknown Sources" kwenye settings.

🟢 Hatua ya 4: Hamisha OBB na DATA

  1. Tumia ZArchiver kuingia kwenye folder ulilotoa mafaili.
  2. Chukua folder la OBB (mfano: com.ftgames.fts24nbc)
  3. Hamisha kwenda: Android/obb/
  4. Kama kuna DATA pia, ihamishie: Android/data/

🔵 Hatua ya 5: Cheza Game!

Baada ya kuweka kila kitu vizuri:

  • Fungua game kwenye simu yako
  • Anza kufurahia Ligi ya NBC na timu zote za Tanzania!

❓ Maswali au Shida?

Ukikwama sehemu yoyote, nitumie ujumbe WhatsApp kwa msaada wa haraka:

NOTE: GUYS HILI GEMU LINAUZWA BEI 8000 ila mimi nimeweza kupita njia za panya nauza bei 3500 tu sitaki kuumiza mtu wote ni magemars tufurahi kwa pamoja namba ya whatsapp bonyeza apo ña kama una zip file lolote la gemu au app nicheki apo mimi nitakusaudia kupata password and all harking

📲 Bonyeza hapa kuwasiliana WhatsApp

Post a Comment

0 Comments