المشاركات

Ratiba ya mtihani Darasa la saba 2026

Ratiba ya mtihani kwa watahiniwa Darasa la saba 2026 imetangazwa rasmi

MAELEKEZO MUHIMU
1.

Hakikisha kuwa unayo Ratiba ya Mtihani ya mwaka 2026 iliyoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania

2.

Hakikisha kwamba unasoma jina la somo juu ya bahasha husika na kuthibitisha kuwa somo hilo ndilo linalostahili kufanyika wakati huo kulingana na Ratiba ya Mtihani.

3.

Kabla ya kufungua bahasha, mpe Mtahiniwa asome kwa sauti jina la somo lililoandikwa juu ya

bahasha ili kuthibitisha ni somo husika kwa mujibu wa ratiba.

4.

Endapo utata utajitokeza kati ya maelekezo yaliyomo katika Karatasi ya Mtihani na Ratiba ya Mtihani, maelekezo yaliyomo katika karatasi ya Mtihani husika ndiyo yatakayofuatwa.

5.

Watahiniwa wenye mahitaji Maalum (Wasioona, Uoni hafifu, Viziwi) waongezewe MUDA WA ZIADA WA DAKIKA 20 KWA KILA SAA kwa somo la Hisabati na DAKIKA 10 KWA KILA SAA kwa masomo mengine.

6.

Watahiniwa wenye UONI HAFIFU wapewe karatasi za Mtihani zenye maandishi yaliyokuzwa, zilizoandaliwa na Baraza la Mitihani la Tanzania kwa matumizi yao.

7.

Watahiniwa waelekezwe; (a) Kuingia ndani ya chumba cha Mtihani nusu saa kabla ya muda wa Mtihani na watakaochelewa kwa zaidi ya nusu saa baada ya Mtihani kuanza hawataruhusiwa.

(b) Kufuata maelekezo yote yatakayotolewa na wasimamizi wa Mtihani.

(c)

Kuandika namba ya Mtihani kwa usahihi.

(d)

Kutofanya mawasiliano ya maneno au kwa njia yoyote baina yao. Ikiwa Mtahiniwa ana

tatizo anatakiwa kunyoosha mkono ili kuomba msaada kwa msimamizi wa Mtihani.

(e)

Kutojihusisha na vitendo vya udanganyifu katika Mtihani kwani watakaojihusisha

Getting Info...

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.