Matokeo ya Darasa la Nne (SFNA) yametangazwa rasmi leo
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (SFNA) leo. Taarifa imetolewa jijini Dar es Salaam na Katibu Mtendaji wa NECTA.
Unaweza kuona matokeo moja kwa moja kupitia ukurasa wa matokeo wa NECTA: SFNA 2025 Results (NECTA) .
Jinsi ya kuangalia matokeo
- Tovuti ya NECTA: Tembelea www.necta.go.tz.
- Hatua: Fungua “Results” → chagua “SFNA – Standard Four National Assessment” → chagua mwaka 2025 → chagua mkoa, halmashauri, kisha shule yako.
AU GUSA HAPA MOJA KWA MOJA 👇
MATOKEO YA DARASA LA NNE HAPAHizi ndizo njia rasmi zilizothibitishwa kwa kuangalia matokeo ya SFNA mwaka huu.
Kwa wanafunzi wa Arusha na mikoa mingine yote, orodha za matokeo zipo tayari mtandaoni kwenye ukurasa wa NECTA uliotajwa hapo juu.

