KARIBU UJIPATIE VIATU VIZURI NA VYA KUDUMU

KARIBU UJIPATIE VIATU VIZURI NA VYA KUDUMU
☝🏿☝️☝🏻GUSA PICHA HAPO KWA MAWASILIANO ZAIDI

WI-FI DEAUTHESNTIFICATION & EVIL NINI ??

🧄 Wireless Network Attack Techniques

🧄 WiFi Deauthentication Attack

Hii ni mbinu ya kuvunja muunganiko wa kifaa kwenye WiFi kwa makusudi, bila kugusa nenosiri au kuvunja encryption. Inafanyika kwa kutumia udhaifu wa 802.11 protocol.

Inatumiwa sana katika majaribio ya kuiba session, kufanya sniffing, au kulazimisha mtumiaji kujiunga na mtandao mwingine unaodhibitiwa na hacker.

Command ya mfano:

aireplay-ng --deauth 50 -a [router BSSID] -c [target MAC] wlan0mon

🤘Evil Twin Attack

Katika aina hii ya shambulio, hacker huunda WiFi hotspot ya bandia yenye jina (SSID) linalofanana na halisi. Lengo ni kumdanganya mtumiaji kujiunga, kisha kudukua data zake.

Ni njia yenye nguvu sana ya kuiba credentials, login sessions, au hata kufanya phishing kwa muktadha halisi.

Tool ya mfano:

airbase-ng -e "Free_WiFi" -c 6 wlan0mon

Haya maelezo yanaeleza jinsi mashambulizi ya WiFi Deauthentication na Evil Twin yanavyotumika kisheria (ethical hacking) maana maswali yatakuja ooh greenhacker wanawezaje ku Attack kutumia ivi ulivyofundisha

✌️ Ethical Hacking: Legal Use of WiFi Attacks

🧄 WiFi Deauthentication – Ethical Purpose

🧄Shambulio hili linapotumika kisheria husaidia kugundua udhaifu wa mtandao wa wireless. Ethical hacker hufanya deauth attack ndani ya mtihani wa penetration testing kwa ruhusa ya mmiliki wa mtandao.

Kwa mfano, kampuni inaweza kuajiri hacker ili kupima kama mtandao wake unaweza kuvurugwa na deauth attack, ili wachukue hatua za kiusalama kama kuweka WPA3 au IDS (Intrusion Detection System).

🧄 Evil Twin Attack – Ethical Use

Katika ethical hacking, Evil Twin hutumika kuonesha hatari za kutegemea jina la WiFi (SSID) kama uthibitisho wa usalama. Hacker anayejaribu kiusalama huunda hotspot ya bandia kuona kama wafanyakazi au wateja wanadanganyika.

Lengo ni kutoa elimu na ushauri kwa taasisi kuweka usalama bora, kama certificate-based authentication au VPN kwa watumiaji wa WiFi.

🤣🤣🤣🤘 embu toa comments fupi fupi unaitaji ni ni ufundishwè nami nitaweza kupost somo hiĺo au video

THNKS SO MUCH OWNER POST GREENHACKER

Getting Info...

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.