🧄 Wireless Network Attack Techniques
🧄 WiFi Deauthentication Attack
Hii ni mbinu ya kuvunja muunganiko wa kifaa kwenye WiFi kwa makusudi, bila kugusa nenosiri au kuvunja encryption. Inafanyika kwa kutumia udhaifu wa 802.11 protocol.
Inatumiwa sana katika majaribio ya kuiba session, kufanya sniffing, au kulazimisha mtumiaji kujiunga na mtandao mwingine unaodhibitiwa na hacker.
Command ya mfano:
aireplay-ng --deauth 50 -a [router BSSID] -c [target MAC] wlan0mon
🤘Evil Twin Attack
Katika aina hii ya shambulio, hacker huunda WiFi hotspot ya bandia yenye jina (SSID) linalofanana na halisi. Lengo ni kumdanganya mtumiaji kujiunga, kisha kudukua data zake.
Ni njia yenye nguvu sana ya kuiba credentials, login sessions, au hata kufanya phishing kwa muktadha halisi.
Tool ya mfano:
airbase-ng -e "Free_WiFi" -c 6 wlan0mon

