المشاركات

Jinsi ya ku Unlock simu zinazotumia mtandao mmoja bila kutumia computer au desktop

Maandishi Yanayobadilika Rangi

posted by greenhacker

kumbuka hatua hizi muhimu za ku-unlock simu za mtandao mmoja bila kutumia kompyuta. Kwa wale wanaotumia simu zenye MediaTek (MTK) processor, njia hii inaweza kuwa msaada Kwa muhtasari, hiki ndicho kinachohitajika:
Mahitaji
: Simu yenye network lock (inayotumia laini moja tu). Bando la internet (angalau MB 200). App ya MTK Engineering Mode kutoka Playstore. --- Hatua za Kufuatwa: 1. Download app ya MTK Engineering Mode kutoka Playstore. 2. Install na ifungue app hiyo. 3. Chagua MTK Settings. 4. Ingia kwenye Telephony. 5. Nenda kwenye SIMME Lock au SIM Lock. 6. Chagua Network Personalization. 7. Bonyeza Unlock/Network Unlock. 8. Weka code 12345678. 9. Rudi nyuma, chagua Permanently Unlock, bonyeza OK/Yes. 10. Bonyeza Finish. 11. Zima simu, kisha weka laini ya mtandao mwingine. note:Kumbuka: Njia hii haifanyi kazi kwa kila aina ya simu, na inaweza kuwa haifanyi kazi kwenye simu zenye Qualcomm processor au zile ambazo zimefungwa kwa njia tofauti (kama kupitia server) --- *****thank***** 1:"Director13" 2:author md 3:greenhacker

Getting Info...

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.