Maandishi Yanayobadilika Rangi
posted by greenhacker
kumbuka hatua hizi muhimu za ku-unlock simu za mtandao mmoja bila kutumia kompyuta. Kwa wale wanaotumia simu zenye MediaTek (MTK) processor, njia hii inaweza kuwa msaada
Kwa muhtasari, hiki ndicho kinachohitajika:
Mahitaji
:
Simu yenye network lock (inayotumia laini moja tu).
Bando la internet (angalau MB 200).
App ya MTK Engineering Mode kutoka Playstore.
---
Hatua za Kufuatwa:
1. Download app ya MTK Engineering Mode kutoka Playstore.
2. Install na ifungue app hiyo.
3. Chagua MTK Settings.
4. Ingia kwenye Telephony.
5. Nenda kwenye SIMME Lock au SIM Lock.
6. Chagua Network Personalization.
7. Bonyeza Unlock/Network Unlock.
8. Weka code 12345678.
9. Rudi nyuma, chagua Permanently Unlock, bonyeza OK/Yes.
10. Bonyeza Finish.
11. Zima simu, kisha weka laini ya mtandao mwingine.
note:
Kumbuka: Njia hii haifanyi kazi kwa kila aina ya simu, na inaweza kuwa haifanyi kazi kwenye simu zenye Qualcomm processor au zile ambazo zimefungwa kwa njia tofauti (kama kupitia server)
---
*****
thank*****
1:"Director13"
2:author md
3:greenhacker