JINSI YA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA, NA KIDATO CHA PILI ,
*IVYO IVYO NA DARASA LA NNE NA DARASA LA SABA*
okey nimesema nisipo wafundisha hili basi nitakuwa mchoyo wa fadhila
Kama mnavyo jua ma admn wa IT TECHBROSS GROUP 🫵 tuna mengi ambayo usiyo ya jua ✅ ila ni vile muda unatutupa mkono 🥺. Na tunapo sema kuhusu kuweka reaction ndio inatupa hamasa ya kufundisha kila siku ✅
Hili somo iki wezekana screenshot hifadhi kwenye simu au kumbuka jina la website yangu Green hacker 😈 👉🏻 Academyteach.blogspot.com hapa na achilia post kila siku ni wewe ushindwe tu ku search hivyo kila baada ya week naweka post mpya na nyingine siwezi ku post humu 😂 🙌 kwa sababu ya sheria walizo ziweka Whatsapp
*Okey tuachane na hayo twende 👉🏻 sasa hii website itaweza kukupa matokeo kamili ya muhusika kwa kuweka jina la shule tu na kufahamu jina analo tumia 🫵😂sio uchawi bali ni Technology*
Na GREEN HACKER 😈🫵 nitazidi kuachilia nondo kila wakati
*Cha kufanya*
1: 👉🏻 Gusa link hii au search link hii https://necta.someless.top
2: chagua kama ni darasa 4,7 au form 4,2
3: chagua shule mfano mimi nitachagua IT TECHBROSS GROUP *(Mfano)*
4; ukisha pata jina la shule basi bonyeza ilo jina la shule
5 tafuta jina lake
6: 😂 tazama alicho kivuna
Kwa msaada zaidi nitumie ujumbe kwenye email ✉️ husika ya: greenhackerteam1@gmail.com
*`*All rights reserved. No part of this content may be reproduced, recorded, or distributed without the authors GREEN HACKER 😈 permission."*
*~DONT REMOVE COPYRIGHT ©️ 2026 BY GREEN HACKER 💀 otherwise i punish you~*

