JINSI YA KU FANYA ROOTER YAKO IUZE KAMA VOCHA 👽
Katika somo hili nalo fundisha greenhacker 👽 basi kila mtu ataweza kuelewa kwa kina zaidi 🫰 kuhusu mchongo huu.
Kama kawaida maswala ya technology huwa na post *👉🏻 academyteach.blogspot.com*. Yah unaweza search hivyo mtu wangu ndani ya wiki na dondosha vitu kama vyote ambavyo visimge ruhusiwa humu kwenye channel kutokana na sheria kali zilizomo upande wa Whatsapp 👉🏻 nadondosha wino huu.
Vifaa na Router Zinazofaa kwenye Uuzaji Huu wa Vocha
Basi kabla ya yote lazima ufahamu vifaa na rooter ipi ambazo zina faa kwenye uuzaji huu wa vocha yani mtu kakupa 500 una mwekea masaa 24 au masaa 3 tu yakipita basi na kifurushi chake kime pita.
👇🏻 Uzi ndo huooooo na dondosha GREEN HACKER 😈
- Huwezi kutumia router ya kawaida ya simu (kama TP-Link ndogo). Unahitaji vifaa imara:
- Mikrotik RouterBoard (Mfano: hAP lite au hAP ax²): Hii ndio itakuwa "meneja" wako. Inakata spidi, inatengeneza vocha, na inazuia wezi.
- Internet ya Uhakika (Fiber): Tumia TTCL, Zuku, au Airtel Fiber. Unahitaji bundle la Unlimited ili hata wakidownload gigabytes 100, wewe hupotezi kitu.
- Access Point (Antena): Kama unataka kurusha signal mbali zaidi (mfano mtaa mzima au hostel nzima), unahitaji antena kama Ubiquiti UniFi au Mikrotik Metal.
Then ukisha weza kuwa na vigezo hivyo basi utaweza kabisa jinsi ya kuwa contorl kwa kuwauzia wateja wako.
😂 Sidhani mwana IT TECHBROSS GROUP 🫵 utani angusha eti GREENHACKER 😈👉🏻*sijakuelewa*
_Okey twende mdogo mdogo kama vile na kupa uji kwenye kijiko cha plastiki mdau wa IT TECHBROSS GROUP 🫵_*
*👇🏻👇🏻👉🏻 GREEN HACKER 👈🏻👇🏻👇🏻*
Configuring Mikrotik
Configuring Mikrotik: Unatumia software inayoitwa WinBox. Unaingia na kuset "Hotspot Server."
User Manager / Radius Server: Hapa ndipo unatengeneza zile vocha. Unaweza kusema: "Vocha hii iishe baada ya masaa 24 tangu iwashwe mara ya kwanza."
Captive Portal Design: Unatengeneza page nzuri yenye picha yako au jina la biashara yako (mfano: CHUO-WIFI FREE). AMA { GREEN HACKER} ni wewe tu na uwamuzi wako.
Sanjari ya ayo kuna faida 😂 mjini akili tu.
Sanjari ya Faida
Kama una wateja 20 tu kwa siku wanaonunua ya 1,500/=:
Siku 1: 30,000/=
Mwezi 1 (Siku 30): 900,000/=
Gharama za Internet (Bill): (200,000/=)
FAIDA KUU: 700,000/= kwa mwezi!
🤭 Nazani umetamani biashara hii fun.
😊 wangu basi kama kawaida hakuna kizuri kisicho na madhara ata sukari ni tamu ila ina madhara makubwa sana.
Changamoto na Jinsi ya Kuziepuka
Sheria: Kwa Tanzania, TCRA inasimamia mawasiliano. Ni vyema kuwa na leseni ndogo au kufanya biashara hii kama "Value Added Service" kwenye fremu yako ya biashara (kama Stationary au Cafe).
Power Supply: Hakikisha una Backup (UPS/Solar) ili umeme ukikatika, Wi-Fi isizime. Wanafunzi wanapenda internet wakati wa giza!
Msaada zaidi: greenhackerteam@gmail.com

