Magspot Blogger Template

TUMIA NJIA HII KUTAZAMA YALE YOTE YANAYO TENDEKA NYUMBANI KWAKO AU OFFICEN KWAKO

*TUMIA NJIA HII KUTAZAMA YALE YOTE YANAYO TENDEKA NYUMBANI KWAKO AU OFFICEN KWAKO* 


*njia hii ni nzuri na haiitaji bando la aina yoyote ile kwenye kutazama yale yote yanayo tendeka ata ukiwa nje ya nchi*

Unayo simu ya zamani ya Android ambayo haitumiki? Usiitupie!  

Leo greenhacker🤖 nimeweza kukuletea vyema na kiundani somo hili ambalo mm mwenyewe nimeweza kulifanyia kazi kabisa ndiyo nika lia approve nili andike kila mmoja mwenye kuhitaji mbinu hii ya kivita haweze kuitumia 😂🙌 note; *usi itumie kama hauna mpango wa kuzimia au mshtuko wa moyo* 



*Andaa ivi vitu ili uweze kukamilisha hii tips 🫵 😂 mwenye presha usisome ❌ sina ela ya kutibia mtu kwa sasa somo hili ni kwa kujifunza tu usilitumie kama ni mgonjwa wa presha tafadhali*


Sasa anda👇

1. Simu ya zamani ya Android (Yenye kamera inayoona vizuri)
2. Simu ya pili ambayo utatumia ku-monitor.
3. App inaitwa *AlfredCamera* (ina offline mode).
4. Wi-Fi router ya nyumbani (hata isiyo na intaneti).


Twende kwa pamoja ✌️ usije sema greenhacker mbona sijaelewa 🥹 hapa naenda step by step kama na nywesha mtoto uji 

Tuanze sasa 🫵👇

1: Pakua app ya *AlfredCamera* kwenye simu zote mbili kutoka Play Store.


 2: Fungua app kwenye simu ya zamani, chagua "Camera Mode".

 3:Fungua app kwenye simu yako unayotumia sasa, chagua "Viewer Mode".

 4:Zisajili zote kwa email moja au Google account moja.

Au kama huna unaweza ukatengeneza gmail account mpya 😃

5: Connect simu zote kwenye Wi-Fi moja tu hata kama haina intaneti.

 6: Sasa unaweza kuangalia live video kutoka kamera ya simu ya zamani kupitia simu yako mpya – hakuna gharama yoyote, wala intaneti!


*NI NI FAIDA YAKE KWA KUTUMIA NJIA HII??*

*ngoja leo nikupe faida hii ukinulizwa wapi umejifunza basi sema IT TECHBROSS GROUP 🫵 Post added by GREENHACKER*

Tuanze nazao👇

- Unakuwa na ulinzi wa nyumbani 24/7.
- Hakuna gharama za ununuzi wa CCTV.
- Unaweza kurekodi ushahidi kirahisi.
- App ina night vision & motion


_"All rights reserved. No part of this content may be reproduced, distributed, or transmitted in any form or by any means, including photocopying, recording, or other electronic or mechanical methods, without the prior written permission of the copyright holder."
GREENHACKER_
Previous Post Next Post

ads

Magspot Blogger Template
Magspot Blogger Template

نموذج الاتصال