KARIBU UJIPATIE VIATU VIZURI NA VYA KUDUMU

KARIBU UJIPATIE VIATU VIZURI NA VYA KUDUMU
☝🏿☝️☝🏻GUSA PICHA HAPO KWA MAWASILIANO ZAIDI
المشاركات

Jinsi kusoma messeg za whatsapp na isioneshe blue 🔵 tick wala kuonekana online

JINSI YA KUSOMA UJUMBE WA WHATSAPP BILA KUONEKANA ONLINE WALA KUWEKA BLUE TICK! 📱👻



Wakati mwingine mtu anakutumia meseji hujisikii kujibu haraka, au unataka tu kusoma kimya kimya bila stress. Basi hii hapa ndio trick yako ya leo:



✅ NJIA YA KWANZA: Notification Preview


1. Usifungue WhatsApp kabisa

2. Swipe juu notification ya meseji iliyokuja

3. Soma ujumbe wote kwenye notification

📌 Hii njia haifanyi message ionekane "read" wala wewe kuonekana online




✅ NJIA YA PILI: Airplane Mode Method ✈️


1. Ikifika meseji, usiiangalie bado

2. Washa Airplane Mode

3. Fungua WhatsApp na soma meseji

4. Toka kabisa kwenye app

5. Zima WhatsApp background (force stop)

6. Zima Airplane Mode

✔️ Ujumbe umesomwa, lakini hakuna blue ticks wala hujaonekana online!




✅ NJIA YA TATU: Kutumia Widget (kwa Android)


1. Long press kwenye screen yako ya nyumbani

2. Chagua “Widgets”

3. Tafuta WhatsApp widget

4. Iweke kwenye home screen

5. Utaweza kusoma message zote bila kufungua app

📌 Hakutakuwa na blue ticks wala huonekani online!



🔒 BONUS: Zima kabisa blue tick na last seen


Nenda kwenye:

WhatsApp > Settings > Privacy > Read Receipts (Zima) + Last Seen (wekee Nobody/Contacts)

💬 NB: Ukizima blue tick – huwezi kujua wengine wamesoma yako pia!




Kwa msaada zaidi DM 

   👉 https://wa.me/message/SIB7OJQVFNCIO1



> 🧠 “© 404 Rights Not Found – Mr Tech didn’t ask for them anyway

𝙸𝚃 𝚈𝙾𝚄𝚁 𝙱𝙾𝚈 𝙼𝚁 𝚃𝙴𝙲𝙷

Getting Info...

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.