KARIBU UJIPATIE VIATU VIZURI NA VYA KUDUMU

KARIBU UJIPATIE VIATU VIZURI NA VYA KUDUMU
☝🏿☝️☝🏻GUSA PICHA HAPO KWA MAWASILIANO ZAIDI
Machapisho

Je? Unafahamu WI-FI ili tokana na nini au gundulikaje??

FACTS NDOGO-NDOGO UNAZOTAKIWA KUZIFAHAMU

Leo ngoja ni kuangazie hili mwana IT TECHBROSS GROUP

Wi-fi iligunduliwa kwa bahati mbaya walipokuwa wakijaribu kuchunguza shimo jeusi huko angani.


Kwa wastani binadamu anascroll urefu wa mnara wa Eiffel kwa simu yake. Hii inamaana kwamba unavyoscroll kwa siku, unatumia urefu wa mnara huo.


Japan walifanikiwa kufanya utafiti wa kasi ya internet na kufanikiwa kupata kasi ya internet ya 1.02 petabits per second. Kwa kasi hii unaweza kupakua muvi zote za Netflix kwa sekunde moja tu.


China ndiyo nchi yenye watumiaji wengi wa internet. Ina watuamiaji bilioni 1.1.


Mwaka 1999 ilikuwa inakuchukua siku moja nzima kupakua wimbo mmoja. Leo hii, unaweza kupakua nyimbo 10,000 chini ya dakika 10.

MWENDELEZO ZAIDI GUSA HAPA 👇 MWENDELEZO KWA KINA

nakala hii imeandikwa na greenhacker katika tafiti zake ©2024-2025

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.