Kama mtandao haupo stable, unaweza kufanya yafuatayo:
🥺Mambo ya kufanya:
Note: Haya mambo naomba uyashike kichwani maana sitaweza kurudia kupost kitu hichi mdau wangu GREENHACKER siko tayari kuona mtu ana sumbuka tena kisa mtandao hauko stable ndo maana nakujuza trick ambazo akuna anae zijuwa
1. Washa na uzime data au Wi-Fi.*
2. Hamisha line kwenye simu nyingine kujaribu.*
3. Tumia mode ya “Airplane” sekunde 10 kisha uzime.
4. Chagua manually mtandao bora (Settings > Network > Choose Network).
5. Tumia VPN kuboresha access – hasa kwenye mitandao iliyozuiliwa.
🥷 VPN nzuri na ya bure:
Hizi VPN zinaaminika na ni bure (zinaweza kuwa na ads au limit ndogo ya data):
Note: ukihitaji nikufundishe kuondoa ads kwenye app yeyote basi uta ni dm whatsapp kisha nitakuelekeza kwa garama nafuu
1. 1.1.1.1 by Cloudflare (Warp VPN)
- Rahisi, haraka, na salama.
2. Proton VPN
- Inatoa free servers bila kikomo cha data.
3. Psiphon
- Inafanya kazi vizuri kwenye maeneo yenye vikwazo vya intaneti.
4. Thunder VPN
- Ndogo na rahisi kutumia.
5. Super VPN
- Free na popular lakini si salama sana kwa privacy.
Hizo ndio VPN na trick ambazo nawaelekeza na ni simple pia ukihitaji mambo ya ku bypass kwa kutumia WI-FI usisite garama ni fahuu sana kwa ewe mtanzania
Note: usitumie vpn kwa uhalifu ila tumia kwa kujifunza mimi Green hacker sita weza kuhusika kwenye hili bali nimetoa somo ili kufundisha kila mmoja
