Embu tujikite kifahamu hii njia kbla ayaja kukuta
Kulingana na privacy ya mtu tumekuwa tukiweka password
Katik simu zetu miongoni ni mimi Assistance hacker 😂🤭 simu ina password 4 ndo ifunguke
Ikitokea siku ukapata ajal na simu yako ina password wasamalia wema watatoa vipi taarifa kwa watu wako 🤔🤔
Leo nakufundisha namna yq kuweka emergency call ya namba ya mtu wako
Mfano anawez kuwa mchiz wako baba yako mama yako whatever
Ingia kweny phone
Then tafta iyo number gusa kweny edit
Scroll chini utaona add to emergency call
Utagusa add
So ata ukipat tatizo mtu anawez tumia sehem ya emergency kupigia familia yako na kutoa taarifa
Sis kama IT TECH BRO'S GROUP tumeona turahisishe mambo
Owner of the post Assistance hacker

