Machapisho

Fanya hivi endapo wakifungia social media zote

Hello 👋 guys poleni kwa kuwa potezea muda kutokana na ubize hivyo nilichelewa kuandaa somo 



Mada : jinsi gani unaweza kuwa online pindi kesho tarehe 29/10/ ikitokea mitandao ya kijamii yote ikifungwa? 


*NJIA NI HIZI PINDI MITANDAO YOTE YA KIJAMII IKIFUNGWA*


1: Moja ya yote unaitajika utumie VPN 


Je nini maana ya neno VPN NI na ina kazi gani au umuhimu gani ngoja nikueleze GREEN HACKER 



*VPN* ni kifupi cha *Virtual Private Network*.  

Maana yake ni *Mtandao wa Kibinafsi wa Mtandaoni*.  


Hutumika kuficha utambulisho wako, kubadilisha location (IP address), na kupita vizuizi vya intaneti (kama social media zilizofungiwa). Pia huongeza usalama wa mawasiliano yako mtandaoni.



Sasa hiyo ndio maana vpn nazani mmenipata kama haujaelewa basi utaniandikia hapo chini comment yako Greenhacker nami nitajibu



Note: sitahusika na uwalifu utakao fanyika bali nipokutoa elimu ya teknolojia ili kila mtu aweze kufahama 


Tuhuma zote dhidi ya uchochezi atutakubaliana nalo IT TECH BRO'S GROUP IVYO BASI TUMIA KI MAADILI


JE NI VPN GANI HIZO : 


VPN hizi *bure (free)* zinaaminika na zinafanya kazi vizuri hata kwenye mazingira ya vizuizi kama Tanzania:


🔓 VPN ZA BURE ZA KUTUMIA:

1. *Psiphon Pro*  

   - Inapita vizuizi vya serikali  

   - No configuration needed  

   - Inapatikana Play Store  

   - Kasi wastani, inafaa kufungua apps


2. *1.1.1.1 with WARP by Cloudflare*  

   - Salama na rahisi  

   - Bypass za kawaida kama WhatsApp, Instagram  

   - Inapatikana Play Store


3. *Windscribe VPN*  

   - 10GB kwa mwezi  

   - Unaweza kuchagua nchi  

   - Inafanya kazi vizuri kufungua social media


4. *ProtonVPN (Free Plan)*  

   - Haina kikomo cha data  

   - Kasi ni ya wastani  

   - Salama kwa private browsing


5. *TunnelBear VPN (Free)*  

   - 500MB kwa mwezi  

   - Nzuri kwa matumizi ya haraka haraka  

   - Easy interface  


6. *Power VPN / Power Proxy VPN*  

   - Inapatikana Play Store  

   - Inapita baadhi ya vizuizi vya mitandao  



Jinsi kutumia


Washa data yako kisha bonyeza neno connect endapo iki andika connected basi utakuwa umekamilisha unaweza endelea kufuatilia mitandao ya kijamii iliyo fungwa



Kwa maoni zaidi shuka chini kusha tutumie maoni yako 




Nashukuru waisani wangu wa nguvu wanao nipa support


1: #IT TECH BRO'S GROUP


2: #ASSISTANCE HACKER


3: #MR TECH


4: #MWANDISHI WA GOOGLE


5: #DIRECTOR KESSY


6: #harkingteach


7: DEVIL ASSISTANCE HACKER

Getting Info...

Maoni 1

  1. Je hii vpn ya windscribe uneandika 5GB kwa mwezi hii inamaana gani?
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.