Machapisho

Ukweli kuhusu Facebook na istagram kupunguza bei ya blue🔵 tick ✔️ hizi hapa

Pata Blue Tick kwa Tshs 1,300 tu! | Instagram & Facebook

JINSI YA KUPATA BLUE TICK (BLUETICK) YAKO KWA TSH 1,300 TU! 🙌

Kwenye Instagram na Facebook

Kampuni ya Meta inayosimamia mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imeanzisha Mfumo wa Discount (Punguzo la Bei) kwa Account za Biashara (Business Accounts) katika Huduma yake ya Meta Verified (Huduma ya Blue tick za Kulipia).

ADA YA KIPEKEE

Sasa mtu/kampuni yenye Account ya Instagram anaweza kupata tick ya blue kwa ada ya:

Tsh 1,300 tu! (Elfu Moja na Mia Tatu)

kwa Mwezi wa Kwanza, kisha Tsh 19,500 kwa Mwezi unaofuata.

FAIDA ZA META VERIFIED

  • Huduma ya Meta Verified ni huduma nzuri ikiwa unapenda kulinda brand yako mtandaoni
  • Utawapa mashabiki au wateja wako urahisi wa kufahamu ipi ni account yako rasmi
  • Ufikiaji wa msaada wa moja kwa moja kutoka kwa Meta
  • Uongozi wa kuonyesha utambulisho wako halisi

NJIA MBALIMBALI ZA KUPATA TICK

Nje ya Huduma ya Meta Verified, bado unaweza kuomba Tick ya BURE bila kulipia kwa kufuata hatua stahiki.

Lakini kwa njia hii ya punguzo, unaweza kupata tick kwa uhakika zaidi!

ZINGATIA: MASHARTI YA KUPATA DISCOUNT

  • Ofa ya Punguzo la Bei ya ticki hizi ipo kwa Account za Biashara pekee
  • Inapatikana katika Instagram na kwa watumiaji wa Facebook wenye Account zilizo katika Professional Mode
  • Si Account zote za Instagram na Facebook zinaweza kuwa na Discount hii
  • Lazima uwe umejaza tarehe ya kuzaliwa na kuwa na msimbo wa nchi kwenye account yako
  • Lazima uwe na picha ya mwenyewe kwenye profile ya account yako

⚠️ Hakikisha unafuata masharti yote kabla ya kujisajili kwa huduma hii!

JISAJILI SASA KWA TSH 1,300

© 2025 GREENHACKER | Chaneli: TELEGRAM : academyteach

Huduma hii inatolewa kwa kushirikiana na Meta Platforms, Inc.ivyo epuka matapeli watakao kutafuta

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.