Jinsi Ya Kujua Location Ya Mtu, Simu Anayotumia, IP Address Yake
Kwa kutumia IPLogger - Maelezo kwa Madhumuni ya Kuelimisha
Hatua za Kufuatilia IP
-
Tembelea tovuti ya IPLogger:
Fungua tovuti iplogger.org kwenye kivinjari chako.
-
Ingiza link unayotaka kuficha:
Katika sehemu ya kuweka link, ingiza link unayotaka mtu afike nayo — kwa mfano, link ya video yako ya TikTok, au link ya tovuti unayotaka.
-
IPLogger itaunda link mpya (tracking link):
Link hii mpya itakuwa na rangi nyekundu na mtu anapobonyeza, taarifa zake zitaonekana kwenye takwimu zako.
-
Tumia link ya access to statistics:
Hii ni link unayotumia wewe kuona taarifa zote za watu waliobonyeza link yako.
Kumbuka: Hii inakusaidia kupata takriban eneo la mtu na taarifa za kifaa chake, lakini haukutoi namba ya simu ya mtu.
Faida na Tahadhari
✅ Faida
- Kujifunza ni wapi watu wanatoka (location takriban)
- Kujua muda gani watu wanatembelea tovuti yako
- Kupata taarifa za kifaa na browser anayotumia
🚨 Tahadhari
- Usitumie kuharibu au kuudhi watu
- Usiandike link kama ni phishing au link za kuiba taarifa za watu
- Hakikisha mtu anayepokea link anajua na anakubali kuangalia content hiyo
- Kufuatilia watu bila idhini yao ni kinyume cha sheria
Muhimu: Maarifa haya yanakuletea kwa madhumuni ya kuelimisha tu. Tunakushauri uzingatie sheria na maadili ya jamii unapotumia mbinu kama hizi.
