Magspot Blogger Template

Njia rahisi ya ku flash simu bila kuwa na compyuter

Jinsi ya Kuiflash Simu Bila PC

𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗙𝗟𝗔𝗦𝗛 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗕𝗜𝗟𝗔 𝗣𝗖 😌


Hii inawezekana kabisa kuiflash simu bila kutumia PC 😎. Njia hii inaitwa Hard Reset na ni rahisi sana!
1. React kwenye ujumbe huu kama hujui 👉 bonyeza kwa nguvu hadi zitatokee emoji kama 😂, 🥲, ♥️ – chagua moja!
2. Bonyeza button ya kuzima simu + button ya kupunguza sauti kwa pamoja hadi simu izime.
3. Simu ikionyesha logo ya kampuni (kama TECNO, Infinix, Samsung) bonyeza haraka button ya kuongeza sauti usiache na acha button ya kuzima.
4. Itatokea menu yenye maandishi kama Reboot System Now – hiyo ni recovery mode.
5. Tumia button za sauti kushuka hadi kwenye Wipe Data/Factory Reset kisha bonyeza power button kuthibitisha.

📌 **Zingatia:** Simu yako itafuta kila kitu (data zote) na kurudi kama mpya. Lakini itahitaji email na password ya awali kwa ajili ya usalama (FRP).

⚠️ **Tahadhari:** Taarifa hizi ni kwa ajili ya mafunzo tu. Hatushiriki kwa namna yoyote kwenye uhalifu wa simu 😅

📞 Kwa msaada zaidi: 👉 +255 710 469 503
Previous Post Next Post

ads

Magspot Blogger Template
Magspot Blogger Template

نموذج الاتصال