VIDEO
JINSI YA KUWEKA ULINZI KWENY APP ZAKO AMBAZO MTU HUTAKI AFUNGUE BILA PASSWORD 😅 MAAN PASSWORD TUTASHITUKIWA WATU WA MICHEPUKO SASA YY AKIFUNGUA HIYO APP SIMU ITAZIMA
Jinsi ya kufanya hvyo ni simple sana
1. Ingia download hii
👉
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.arlosoft.macrodroid
2. Kisha allow setting za app then
3. Nenda kweny templates Kisha search "*LOCKOUT*" utaona imekuja app lockout
4. Pafungue hapo app lockout Kisha utaponyeza ➕
5. Uta allow setting tena za hapo then utarudi nyuma kweny " Macro's"
6. Utafungua lockout tena utaikuta hapo
7. Utabonyeza application launched Kisha configure
8. Then okay baada ya hapo utachagua application unayotaka ikifunguliwa itie simu lock
📌 AKIFUNGUA APPLICATION ULIOWEKA HVI SIMU ITAINGIA LOCK ATATOA LOCK AKIFUNGUA TENA ITAINGIA TENA LOCK SO YES ATATOA LOCK MPK ACHANGANYIKIWE 😅😅
Alfu siku hizi hamreact sijui kwnn
Kwa msaada DM
👉 https://whatsapp.com/channel/0029Vb5e33h96H4QYhiGIQ2V
🧠 “© 404 Rights Not Found – IT TECH BRO'S GROUP didn’t ask for them anyway.” 😎✨
THANK OWNER OF THE POST
1: MR.TEACH 🥱
0 Comments