Machapisho

Ransomware attacks ni nini? Na inafanya shughuli gani

> "© 404 Rights Not Found – Green hacker didn’t ask for them anyway

Ransomware Attacks🧄 (Mashambulizi ya Ransomware)* ni aina ya uhalifu wa kidijitali ambapo hacker hutuma programu hatari (malware) inayofunga au kuficha mafaili kwenye simu au kompyuta yako. Ili uyafungue tena, unalazimika *kulipa fedha (mara nyingi kwa njia ya crypto)

😎
Mfano halisi
:

- 🧄Hacker anaweza kukutumia link kwa email au WhatsApp. Ukifungua tu, ransomware inajipachika na kufunga data zako.

- 🧄Utaona ujumbe ukisema: “Data zako zimefungwa. Lipa BTC 300 ili uzifungue.”

Hatari zake:

- 🧄Biashara zinaweza kusimama.

🧄 Watu hupoteza picha, nyaraka, au kumbukumbu muhimu.

🧄Wengi hulazimika kulipa bila uhakika wa kurudishiwa data.

🧄Mifano ya kweli usije ukasema greenhacker kajuaje haya note im next level napoteza muda mwingi kusoma mambo ya technology

- 🧄WannaCry attack (2017): Ilidukua kompyuta zaidi ya 200,000 duniani kote, ikiwemo hospitali za Uingereza.

🧄Ni muhimu kufundisha watu kuhusu ransomware kwa sababu inalenga kila mtu – si tu mashirika. pia zipo mtu wangu wa IT TEACH BROSS GROUP namna ya kujikinga pia

Njia kuu za kujikinga na *ransomware attacks* ni hizi:

1. Backup ya data mara kwa mara

- 🧄Hifadhi mafaili yako muhimu kwenye external drive au cloud. - 🧄Ukidukuliwa, unaweza kurejesha data bila kulipa.

2. Usifungue link au attachment zisizojulikana

-🧄 Kama email au meseji ina link ya ajabu, hata kama ni kwa jina la rafiki, *usibonyeze*.

3. 🧄Tumia antivirus bora na updated - Antivirus husaidia kugundua na kuzuia ransomware kabla haijafanya madhara.

4. 🧄Update software zako zote - Hacker hutumia mapungufu ya zamani kwenye apps au OS. Update hufunga mapungufu hayo.

5. Epuka kutumia software zilizopigwa crack

- 🧄Mara nyingi zina malware ndani yake. Tumia programu halali tu.

6. 🧄Tumia firewall na VPN unapokuwa online

- 🧄Hii hupunguza uwezekano wa kufuatiliwa au kushambuliwa moja kwa moja.

7. Elimu kwa wengine -🧄 Fundisha marafiki, familia au wanafunzi kuhusu hatari ya ransomware – elimu ni kinga bora.

Zingatia haya ya ziada ili kuimarisha ulinzi dhidi ya ransomware: 8. 🧄Tumia two-factor authentication (2FA)

-🧄 Hata kama hacker ana password yako, hatoweza kuingia bila uthibitisho wa pili. 9.🧄 Dhibiti ruhusa za apps

- 🧄Usiruhusu apps zisizo muhimu kufikia mafaili au mfumo mzima wa simu/kompyuta yako.

10. 🧄Tambua dalili za ransomware mapema

-🧄 Kompyuta kuwa slow, mafaili kubadilika majina au kuwa na extension ngeni (kama .locked) ni ishara.

11. 🧄Usilipe ransom

- 🧄Hakuna uhakika kuwa utarudishiwa data zako. Kulipa kunawapa nguvu hackers. 12. 🧄Tumia strong passwords tofauti kwa kila akaunti

- Epuka kutumia password moja sehemu nyingi. Tumia password manager kama LastPass au Bitwarden.

13. *Jifunze kwa matukio ya wengine*

- Soma visa vya mashambulizi yaliyotokea ili ujifunze mbinu za kujikinga. > "© 404 Rights Not Found – Green hacker didn’t ask for them anyway

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.