Jinsi ya ku share vpn kwenye simu nyingine
JINSI YA KU SHARE VPN INTERNET KWENYE SMARTPHONE NYINGINE
*
=============================
💯🇿🇦🇺🇬🇹🇿🚀🔥🌳✅🙌
"Iwapo hutaki kuhatarisha kufanya rooting kwenye kifaa chako kwa ajili ya kushiriki VPN kupitia HOTSPOT [ via WI-FI ], kuna programu kadhaa zinazoweza kukusaidia kushiriki muunganisho wa VPN na vifaa vingine bila kuondoa usalama wa mfumo wako wa uendeshaji.
Mfano mmoja ni Every Proxy, inayokuwezesha kuendesha seva ya wakala (proxy server) kwenye kifaa chako cha Android.
*Download hapa 🤍 ni rahisi kuitumia hata usiogope rafiki*
👇👇
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.gorillasoftware.everyproxy
_Kwenye kifaa chako kikuu (kinachoshiriki hotspot): [ simu ambayo Ina VPN]_
1. Nenda kwenye Play Store na pakua Every Proxy.
Au download kupitia link iyo hapo juu
2. Fungua program yako ambayo ni VPN NA UI CONNECT INAWEZA KUWA VPN YOUOTE MFANO ____🌍🌍🇹🇿🇹🇿
🟢 HTTP INJECTOR
🟢HTTP CUSTOMER
🟢NPV TUNNEL
3. Fungua programu ya Every Proxy na uanzishe seva ya wakala ya HTTP/HTTPS._{ WASHA SEHEMU IMEANDIKWA HTTPS NI YAKWANZA KABISA BAADA YA KU OPEN APPLICATION}_
4. Washa hotspot kwenye kifaa chako.
Kwenye kifaa kingine: [ SIMU UNAYOTAKA KUUNGANISHA INTERNET YA VPN ]
1. Washa Wi-Fi na unganishe kwenye hotspot ya kifaa cha kwanza.
2. Nenda kwenye Mipangilio (Settings) na gusa Network and Internet au Connections, kulingana na aina ya kifaa chako.
3. Gusa Wi-Fi na chagua mtandao uliounganishwa.
4. Gusa Advanced options.
5. Gusa Proxy na uchague Manual.
6. Katika sehemu ya Proxy host name, ingiza anwani ya IP kutoka Every Proxy. Apa ingiza Ip ambayo utaiona kwenye Ile simu ambayo ume download every proxy apk baada ya kuwasha Ile option ya HTTP. 🤔 Ile utazikuta tatu tofauti wewe chagua yoyote Ile ila nzuli ni Ile inayoanzia 192.198.________
7. Katika sehemu ya Proxy port, ingiza namba kutoka Every Proxy. APA 🧠 INGIA 8080 usiingize tofauti na hii
8. Gusa Save (Hifadhi).
*HAPO UTAKUA UMEMALIZA MTU WANGU 👊❤️*
SIO KAZI KABISA
Programu zingine zinazokuwezesha kushiriki VPN kupitia hotspot kwenye Android ni:
PdaNet
Tethernet
DF Tethering Fix
VPN Tether
finishing
Getting Info...
