Machapisho

Futa virusi kwenye computer bila antivirus

FUTA VIRUS KWENYE COMPUTER BILA ANTIVIRUS 🩸Watu wamekuwa wakiangaika kutafuta antivirus kila siku na kudownload cracked Antivirus s ambazo zenyewe ndo zinawazidishi Virus, ❄️Basi Leo nmewaletea ANTIVIRUS Official ambayo ipo kwenye Windows yenyewe na haina mambo mengi, basi wewe fata hizo steps apo chini kufungua antivirus yako na kuscan Virus wote Steps 👾Washa Computer 👾Bonyeza Windows + R 👾Andika "MRT" 👾Bonyeza "Ok" 👾Bonyeza "ok" - "Next" - "Next" - "Full Scan" 👾Enjoy 🧑‍💻Maujanja mengine ni kama haya apo, Bonyeza Windows + R alaf Type %temp% alafu Click okay, Au click apo kucopy moja kwa Moja alafu zile Folders utakazo zikuta pale zifute zote 🔥Rudia steps hiyo hiyo ile kwenye %temp% usiweke asilimia Note ⚠️Ni bora kutumia hii ANTIVIRUS au kutumia ambayo imelipia Kwasababu, kitu chochote ambacho kiko cracked lazima kitalefa Virus kwenye mashine yako @mwandishiwagoogle@yahoo.com #academyteach.blogspot.com

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.