Machapisho

Jua zaidi kuhusu virusi vya malware (malicios software)

AUTHOR OF GOOGLE JUA ZAIDI KUHUSU MALWARE(malicious software) q @Malware ni tatizo kubwa kwa sasa. kila siku watu zaidi ya 1000 wasio na hatia wanaadhirika na aina tofauti za malware(sisi tunaita virus) .Kirusi ambacho kinatumika au vinatumika sana nyakati hizi ni -Worm- na -Trojan- basi kipindi cha leo nitawafundisha aina zote za malware na kipindi kijacho nitaelekeza jinsi ya kutengeneza kirusi aina ya trojan na jinsi kinavyo fanya kazi kwenye computer au kifaa chochote ambacho kina OS(Operating System) ================================================================================= #Viruses-hawa hawaweze kuambukiza bila msaada kutoka kwa sisi binadamu au watumiaji wa computing devices. Na pia hivi viko kama parasite(hiki ni kitu ambacho kinategemea kitu kingine kifanye kazi ili kiweze ku survive mfano minyoo kwenye tumbo la binadamu, binadamu asipokula basi huwa inakufa)na huwa wanahitaji kujishkilia kwenye program au file ambalo ni useful(linatumika sana kama vile Antivirus).Basi pale tu programu hiyo ambayo kirusi kime attach(kimejishikilia) pale basi kirusi kinaaamka na kuanza kufanya kazi(Complimization of data)na kujizalisha na kuambukiza files zingine kwenye computer yako.Hawa virus huwa ni waharibifu sana wanaweza wakaharibu hardware(Hivi ni vile vifaa vya computer ambavyo unaweza ukavigusa na kuvihisi mfano CPU),Software(Hivi ni vile vifaa vya computer ambayo havigusiki wala ku hisi mfano windows,games,microsoft word na mengine mengi), na files,Na virus hawa huwa wanaambukizwa kutoka computer moja kwenda nyingine kwa kutuma file kwenda kwa mtu au kwa kutumia e-mails(electronic mail). #Worms-hawa ni virusi ambao wanajizalisha wenyewe na kujisafirisha kutoka computer moja kwenda nyingine kwa njia ya internet, Ukili nganisha na Viruses tuliowaongelea hapo juu. Hawa worms huwa hawahitaji msaada wa harakati za binadamu kusambaa na kuambukiza system Pale tu itakapo ambukiza system basi itatumia system hiyo hiyo kujicopy(kujitengeneza) na kutuma copy zake kwenye computer nyingine mbalimbali na kuziambukiza pia. #Trojan Horse-Tutumia mfano hai ili tuweze kuelewa .Trojan Horse ni mbinu ambayo ilikua ikitumika miaka ya zamani na wale waliokua wakipigana vita na farasi wengi, Basi neno Trojan Horse ilitokea pale Ambapo lile gari ambalo lina matairi mawili alafu linavutwa na farasi linambeba adui kutoka upande wa pili na kumpeleka upande mwingine na kumuingiza zile sehemu nyeti bila wao kujua na adui huyo akija kutoka anasababisha vifo na hasara kubwa,na hii mbinu ilipoteza maisha ya wapambanaji wengi kipindi hicho;;-Basi hiki kirusi kina weza kutumika kumfanyia mtu mambo ya ajabu sana kama vile kubadilisha muonekano wa desktop yake. Pia anaweza akafanya vitu vya serious vile kuformat kila kitu kwenye computer yako kupiga screenshot desktop yako,kukutumia meseji mfano(Umeliwa Mshenzi wewe),na pia kuiba password na kuzima computer yako bila wewe kubonyeza popote..chakushangaza zaidi anaweza akamuonesha hacker ni button zipi unazibonyeza wakati huo,na hii inakua ni njia rahisi ya kupata password za mtu. #Logic Bombs-Hizi sana sana ni kama kipande cha code(msimbo) ambazo zinatongenezwa(programmed) ndani ya programu ambapo kina tulia bila kufanya kazi(dormant) mpaka mtumiaji wa kifaa au computer afanya kitu au abonyeze sehemu flani ambapo itapelekea kirusi hicho kuamka na kufanya mambo yasiyo kusudiwa mfano kucontrol programs zifanye kazi isipotakiwa kama vile kufanya ma file yawe na majina ya ajabu ajabu(kama ya kigiriki vile).Au kubadilisha password au settings kwenye computer yako #Bacteria-hiki kirusi kinatengeneza copy nyingi za aina yake na mwishowe kinatumia sehemu kubwa ya computer mfano chaji(power),processor(speedi ya ufanyaji kazi wa computer),memory na diskspace(unashangaa computer inajaa wakati haina filez zozote).Basi baada ya hapo mtumiaji wa computer anashindwa kuzipata data zake au kuendelea na project zake akizani kuwa disk imeharibika na kuishia kuformat au kunnua nyingine naa kupoteza data zake zotea(hii ni hasara kwa wenzangu wanao burn movies, miziki,na files..Muwe makini na hili #Blended Threats-hii inaunganisha tabia naimani umeelewa kuhusu malware

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.