Website hatarishi duniani zilizopo kwenye darkweb zifahamu
Fahamu website hatarishi zilizopo kwenye darkweb
Duniani Kuna mambo mengi ya ajabu ambayo watu wengi hawayajui na ikitokea umeyajua unaweza sema hauko dunia hii !!!
Kama ukifanikiwa kutembelea kwenye darkweb utakutana na mambo mengi ya kuogopesha na kutisha.
Biashara Haram, mitandao ya kijamii, odds za kubet utazikuta, uuzaji wa silaha nk.
Mfano wa website ya darkweb 👇
http://zqktlwiuavvvqqt4ybvgvi7tyh.onion
Website hatarishi zilizopo kwenye darkweb 👇
1️⃣ Human experiment
Hii Ni tovuti ambayo kazi Yao ni kufanya majaribio binadamu walio hai Yani wanachukuliwa kutoka maeneo tofauti tofauti wanatekwa na kwenda kufanyiwa majaribio Kama upasuaji , kumwagiwa tindikali, kutolewa mimba, kuzikwa ukiwa hai nk
Kwenye hii tovuti kauli Yao wanasema " Not all human are equal".some of them were born to superior to others
" Binadamu wote hatuko sawa , baadhi wamezaliwa kuwa Bora kuliko wengine "
2️⃣ cannibal forum
Hii ni tovuti inayohusika na ulaji wa nyama za binadamu Tena live live Yani kwenye hii tovuti wanaonyesha jinsi ya kula baadhi ya viungo vya mwanadamu Tena vibichi au kwa kuvipika.
3️⃣ last words
Hizi ni tovuti ambazo zinakuonyesha sauti pamoja na video za watu tofauti tofauti wakisema maneno Yao ya mwisho kabla hawajafa hivyo utasikia sauti za watu wakitamka maneno ya mwisho mwisho.
4️⃣ the human product
Katika dark web, bidhaa kadhaa zinauzwa zilizotengenezwa na wanadamu kama vile chakula, pochi za mikanda na na mavazi.
Tovuti hii kauli Yao wanasema "Usivae Manyoya".Do not wear Fur
Kazi ya hii website ni kuuza bidhaa zinatokana na ngozi ya binadamu kuanzia viatu , nguo , mikanda , pochi , ni hatari.
5️⃣ Hitman service
Hii ni tovuti ambayo Ina kundi la wauaji kazi Yao ni kuua watu ambao unawapa oda wanakufanyia kazi wao wanafanya kazi popote japo wapo USA , Canada na European wale wenye ma Ex 😃.
Kazi zao uchukua masaaa 24 siku mbili wiki mpaka mwenzi inategemea na eneo unalowagiza utawapa jina lake pamoja na eneo analokaa.
Ila sheria Yao wanasema hawawezi kuua mtoto mdogo mwenye umri kuanzia miaka 16 kushuka chini pamoja na wanasiasa wakubwa.
Site hii huwa hawachukui dollar hata mara moja unawalipa kwa Bitcoin pekee.
Getting Info...