SIMU YAKO INA UWEZO KABISA WAKUTAFUTA KITU CHENYE ASILI YA CHUMA NA UKA KIPATA

AUTHOR:MWANDISHI WA GOOGLE ✨️
SIMU YAKO INAWEZA KUKUTAFUTIA KITU CHENYE ASILI YA CHUMA AU SILVER AU DHAHABU AMBACHO ULIDONDOSHA NDANI KWAKO AU ULISAHAU ULIPOWEKA Iwapo umepoteza pete yako ama vipuli vyako vya dhahabu na huwezi kuvipata simu yako inaweza kuwa kifaa muhimu sana Kwa wale wanaotumia simu aina ya Android kuna programu inayotoa Huduma hiyo kwa jina Metal Detector Ni bure na inatumia sumaku ya simu yako. Matumizi yake ni rahisi sana Fungua programu hiyo peleka simu hiyo mahali unapotafuta kifaa hicho cha chuma au dhahabu au silver iwapo utatafuta sehemu ambayo icho kitu kipo simu yako itapiga alarm Academyteach.blogspot.com
Mpya zaidi Nzee zaidi

ads

Magspot Blogger Template
Magspot Blogger Template

نموذج الاتصال