ondoa virusi kwenye mashine/compyuter yako bila kutumia nguvu
🔥ONDOA VIRUS KWENYE MASHINE YAKO🔥
🔑Hii ni moja kati ya njia ambazo ni salama san kweny kuclean virus kwenye computer yako, ila unaweza ukafanya full scan ya computer yako bila kutumia safe mode na virus wakakamatwa ila kuna directories ambazo Anti-Virus haina permission ya ku access kwahyo haiwezi ku guarantee complete virus removal
🔑so Nashaur tumia safe mode, na kam una Anti-Virus yako hapo itakuwa haina haja ya kudwnload malware bytes tena.
📌SHARE AND SUPPORT US📌
Compyuterskills.blogspot.com
🦠Ondoa Hao Virus Kwenye Mashine Yako
🔑1. Izime computer yako direct(kwa kubonyeza sehem ya kuwashia na kuzima)
🔑2. Iwashe na uachague safe mode with networking
(kama zwisky nashauri tumia mishale ya kushuka chini mpaka kwenye hiyo option then bonyeza enter) au kama unatumia windows 10 au 11 unaweza ukaenda kwenye
✨settings/system/advanced startup✨
🔑Hapo computer yako ita restart in advanced startup mode baada ya hapo utaingia kwenye
📌troubleshooting startup settings📌
Baada ya hapo utaclick kwenye
📌boot option📌
then utaclick namba iliyoandikwa
🦠safe mode with networking 😀
🔑3. Ukiingia ndani connect na internet then ingia kwenye mtandao .
🔑nenda google.com na uandike malware bytes then enter.
🔑4. Chagua website ya malware bytes ambayo ni malwarebytes.com.
🤔Mara nyingi huwa inakuwa ya kwanza.🤔
🔑5. Ikifunguka utaona sehem wameandika download bonyeza hapo then free download then fata maelekezo
🔑6. Ukimaliza kudownload install na ufanye full scanning.
🔑7. Itatumia dakika 10 hadi 30 kulingana na uwingi wa vitu kwenye computer yako.
🔑8. Ikimaliza itakuletea message kuna malware imedetect, wadelete na u finish.
🔑9. Itakuomba kurestat irestat na hapo utakuwa safe kabisa.
🔥NB:malware bytes ni moja ya anti virus bora kabisa kwasababu ukiingia kwenye website yenye virus haitafunguka itakupeleka kwenye website ya malware bytes hivyo utakuwa safe
Pia kuna Anti-Virus zingine ambazo ni nzuri kama vile
📌AVAST Anti-Virus premium security
📌Kaspersky total security
📌GrindSoft Antimalware
📌ES endpoint security
📌360 Total security
🔑Pia na hizo antiviruss unaweza zitumia kwenye simu yako🔑
🔑Je ni kitu gani kinakusumbua kwenye computer yako?
Tuambie kwenye Comments tukusaidie chap🙏
Compyuterskills.blogspot.com
Getting Info...