JINSI YA KUTUMIA JINA MOJA FACEBOOK
Info
Nakwenda kuwafundisha njia ya kutumia jina moja kwenye Facebook na account ionekane unyama
Vifuatavyo ni vitu vinavyohitajika katika process hii ya kuweka jina moja
Requirements
🚧Hola VPN
🚧Facebook Account
🚧Data (MB)
Ingia Playstore au Google then search Hola VPN alafu download utakayoipata au nenda playstore utaipata pia
Fungua Hola VPN alafu tafuta server ya INDONESIA alafu connect,
Tunatumia server ya INDONESIA kwasababu kule kwao kuna watu hawana majina ya familia kwahyo wanatumia jina moja, kwahyo Facebook ikawapa uwezo wa kutumia jina moja kwenye account zao
Baada ya ku connect kwenye hiyo server, fata steps zifuatazo kukamilisha process
Steps
⚙️Fungua Facebook
⚙️Nenda Settings
⚙️Profile
⚙️Account information
⚙️Edit Profile
⚙️Futa Yale Majina Ya Mwisho
🚨Surname
🚨Middle Name
⚙️Save
🛠️Click To Join Our Premium Folder
https://t.me/addlist/0PIOeuz1kaUzNTU8
Unaweza uka create new account ila usijaze hizo sehemu mbili, baada ya hapo utasave
Note
Click neno Hola VPN kudownload hiyo VPN direct Google kupitia site ya UpToDown
