Jinsi ya ku share free internet through vpn kwenda kwenye pc yako or compyuter yako

Jinsi Ya Kushare Free Internet Through Vpn Kwenda Kwenye PC Yako Ama Computer ➖➖➖➖➖➖➖ Compyuterskills.blogspot.com
Nimeona Kunauhitaji Wa Kujifunza Jinsi Ya Kushare Internet Kwenda Kwenye Computer Ama Laptop Yako Ukiwa Unatumia Free Internet Vpn Tutaenda Kutumia Application Inayoitwa EVERY PROXY Hatua Ya Kwanza Ya Kufanya Ni Kudownload Hii Application Link Naiweka Hapa 👇🏽 https://play.google.com/store/apps/details?id=com.gorillasoftware.everyproxy Baada Ya Kudownload Utaifungua Ndani Yake Utakuta Option Mbili Yan Http Na Socks4 Kwa Hapa Sisi Tutaitumia Option One Yani Http Utabonyeza Botton Ya Kuwasha Http Option Then Utakutana Na Vitu Kama Host Na Port
Baada Ya Hapo Utaifungua Laptop Ama Computer Yako Kwa Wanaotumia Window 10 Watafuata Hatua Zifuatazo: Utabonyeza Menu Option ( Start Button)Then Search Proxy Settings Utaifungua Kisha Utascrow Chini Kabisa Utakutana Na Sehemu Wameandika Use a Proxy Server Utaiwasha Kisha Utakutana Na Sehemu Mbili Za Kujaza Yan Address Na Port Hapa Kwenye Address Utaandika Host Ambayo Utapewa Kule Kwenye Application Yako Ya Every Proxy Na Port Pia Umegewa Utaiandika Kisha Utasave Hakikisha Umeconnect Hotspot Yan Kutoka Kwenye Simu Yako Kwenda Kwenye Computer Baada Ya Hapo Itakuwa Umemaliza Unaweza Kushare Free Internet
Compyuterskills.blogspot.com

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.