Machapisho

Code za kuzuia simu zenye maajabu

*35*0000*11# Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote Namna ya kuitoa hio code baada ya ku set ni kubonyeza tena code hii #35*0000*11# *33*0000*11 # Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga,hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi kama anapenda kuongea ongea na simu usiku 😀 Hii unaitoa kwa #33*0000*11# *331*0000# Hii ni kwaajili ya ku block international calls kama umeajiri wageni na hutaki wapige pige simu makwao basi shuka nayo hii namna ya kuitoa ni #331*0000# *35*0000*16# Hii ni kwaajili ya ku block sms zinazotumwa kwenye simu yako zisiingie na namna ya kuitoa Ni kwa ku bonyeza #35*0000*16 # inatoka fresh kabisa *33*0000*16# Hii ni code kwaajili ya kuzuia text zisitoke kwenye simu na namna ya kuito ni kubonyeza #33*0000*16# Credit to: @mwandishi wa google

Getting Info...

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.