𝐉𝐈𝐍𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐃𝐎𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐀𝐍𝐆𝐀𝐙𝐎 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐒𝐈𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝐀𝐍𝐃𝐑𝐎𝐈𝐃

JINSI YA KUONDOA MATANGAZO KWENYE SIMU ZA ANDROID MAHITAJI Hakikisha simu yako imekuwa rooted. Kama bado ujairoot simu yako tafuta juu huko nimefundisha HASARA ZA MATANGAZO 1.Umaliza kwenye bettery 2.Upelekea bettery kufa mapema 3.Ujaza storage ya simu 4.Uingiza App katika simu yako pasipo ruhusa yako 5.Umaliza Bando kwa uwaraka kwenye simu 6.Uruhusu Virus kuingia kwenye simu JINSI YA KUZUIYA HATUA 1.Download Application ya ADblocker PLUS Kupitia Link hii http://www.mediafire.com/file/bzegd7h4te1dq44/Adblock_Software+Support+Tanzania.apk 2.Install na fungua ADblocker PLUS 3.Utapata ujumbe wa kuiruhusu ADblocker PLUS Kupitia ROOT bonyenza Allow 4.Fungua App kisha Nenda kwenye sehemu imeandikwa Filtering kisha weka ON MUHIMU Utakapozuia matangazo kwenye simu yako unaweza kushindwa kuingia kwenye baadhi ya tovuti kupitia simu yako
Mpya zaidi Nzee zaidi

ads

Magspot Blogger Template
Magspot Blogger Template

نموذج الاتصال