App zitakazo kuonyesha uangalie mpira mubashara/live bure kwenye sinu yako

APPS ZITAKAZOKUWEZESHA KUANGALIA MPIRA MUBASHARA BURE KWENYE SIMU YAKO APP NO:1👉 MOBDRO App hii ina channels nyingi zikiwemo za movies,music,sports,religion,technology ichukie hapa 👉https://www.mobdro.to APP NO:2 SHOW SPORT TV App ni kwa ajili ya mpira tyu ina channel zote za mpira Ichukue hapa
👉http://showsport-tv.com/android-app.html APP NO:3 REDBOX Ichukue hapa 👉https://redbox-tv.com/download/ APP NO:4 STARTIMES Nazani inajulikana sana ichukue hapa 👉 Android: http://bit.ly/2s6wbSD iOS: https://apple.co/2KN4Zjy
APP NO:5 ONLINETV APP Ni app ya kitanzania ambayo inaonyesha channels za tz,africa masharik,na nchi zingine pia kuna all tanzanian redios ichukue hapa 👉http://onlineapptv.one/Downloads/Online%20TV.apk

Post a Comment

0 Comments